Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Hivi nakutafutaje mimiUnanitafutaa
Hivi nakutafutaje mimiUnanitafutaa
Muziki: KKB
Leo napata ugumu kusalimia kwa maneno, tupeane tano ngumu ngumu kuashiria kuwa tumekuwa na siku nzuri kabisa siku ya leo bila kujali nini kilijiri kwa uzuri au ubaya. Nitakuwa faster leo maana mchana mzima beki zimekuwa hazikabi ipaswavyo hivyo imebidi kocha niingie uwanjani dakika za majeruhi angalau kutafuta droo, yeah, sio droo utie nguo na makorokoro bali sare angalau asubuhi staftahi ipatikane.
Ni bahati mbaya sana kusikia member mwenzetu keshakuwa mwendazake (RIP), ndo maisha hayo nasi hatuna cha kuzuia maana ardhi ni kubwa sana, akizikwa yeye si kwamba atatumalizia nafasi, makaburi hayajajaa kutufanya sisi tusife. Inauma sana. Pole kwetu
Sijui ni upepo wa kusi au kasi umepita nami leo nilitaka kuweka nyimbo ya 'kitotototo' yaani kucheza mwanzo mwisho unaelewa huelewi ilimradi tu vyombo vya muziki vinaposikika unajisikia kutingisha mwili na hasa mguu, usitingishe kiuno, bado ni mapema sana na ada zinazidi kupanda kila siku. Sakayo asante kwa uchaguzi huu
Mr Nice na si Mr Noise ndiye atakayetuburudisha leo, sina mengi juu yake maana ukiona Diamond ang'ara leo jua kuwa Mr Nice aliisimamisha Afrika Mashariki na Kati, hakuacha hata kitongoji kimoja katika nchi saba zinazotuzunguka. Wazazi iliwabidi watunge maneno ili kuwaelewesha watoto kuwa kuku akipanda baiskeli ujue anaenda kuchinjwa.
Hadi wakati mwingine. Nakupenda kapuku mwenzangu sababu wewe ni mtu muhimu humu, heshima yako sana
KKB- Kuku kapanda Baiskeli
Ujue mguno wako nikiuona sina mbavu mieMmmmh
Hii tabia nilivyo toka huko nilipata nafasi ya kutembelea baadhi ya viwanda vilivyopo pwani nikaona wanao Fanya kazi kwenye hivyo viwanda ni wahehe, wasukuma, na wanyakyusa nikauliza wenyeji vipi hawapo kazini wakasema wenyeji ni wataalamu wa kucheza bao tu na porojo nyingi mdomonNi changamoto kwa kweeli
Aiseeee obee
Asante mnoo....
Uzuri wakooo unanipa kiweweeeeee nifanye niniiii ili niwe na weweweeeeee

Usiku unaendaa wapNajitawala na nini mie jamaan
Asante mkuu tumepoteanaSalama mkuu
Unaenda wapii usikuHivi nakutafutaje mimi
Usiku upiii tena nikitoka si huwa nakwambiaUsiku unaendaa wap
Nafikiri siku anamfunga Sauzi alikuwa kam eza dozi na watu tukaamini kapona
Leo kasahau kumeza dawa tuliokuwa tunamsifia wote tumeumbuka
Kichaa huwa haponi isipokuwa Siku nyingine huamka vizuri na Siku nyingine vibaya
Hata kitaani yupo baadhi ya siku huwa sawa ila siku nyingine kutembea uchi wa mnyama
Ni kosa kumwekea dhamana chizi
...

Sijaelewa hapa mama TAiseeee obee
Asante mnoo....
Uzuri wakooo unanipa kiweweeeeee nifanye niniiii ili niwe na weweweeeeee
Kumbe anaogopa kwa hiyo hajikubali alipo kisa chips yaiAhahhh yupo kinyerezi hataki kuitwa mwanaume wa dar
Ahahha ngoja aanze na wa husna i love u halaf uje kuku kapanda baiskeli

Sijaelewa hapa mama T
ila kaka we ni mchochezi hiyo mistari kamkumbuka zilipendwa wake jamaan moyo huo sina jamaanSawaNmesahau hata kilichonichekesha
HahahaWoyooooooo zilipendwa wa dada angu mie kama nakuona huko unavyofurahii umekulapo mahela yake na wewe lipa fadhila ujue
Na huo ndo ukweli kabisaaHii tabia nilivyo toka huko nilipata nafasi ya kutembelea baadhi ya viwanda vilivyopo pwani nikaona wanao Fanya kazi kwenye hivyo viwanda ni wahehe, wasukuma, na wanyakyusa nikauliza wenyeji vipi hawapo kazini wakasema wenyeji ni wataalamu wa kucheza bao tu na porojo nyingi mdomon