Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Sijambo T mie shikamooShunny hujambo?
Sijambo T mie shikamooShunny hujambo?
Nisuprize tuu mama ! Manake hushindwagiNataka nikusapursizeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh...
Sawa shemela ujue kweliHaina shida shemela tutaonana tu
HahahaSiku yako imeisha vizuri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani me namuulzia shemela Shedede cku nyingi hajaonekana humu tena aliondoka na stress za talaka mwenye mawasiliano nae amtafute
Kumbushaneni tuu!Hahaha
Nimecheka kwa nguvu ujue.... Bae wale walikuwa ni wa mdote pale majengo bhana.... Mtoto wa watu naanzaje kumkubalia mtu kavaa msuli mieeeeh...
Hakuona kwa kuwa hakuwa na wenyejiWe hukuona yale makazi yao bhana... Nyumba za maana ni za wa kuja tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sana shemelaSiku yako imeisha vizuri sana
Mko na NyageiNasubiri jibu
Mzima Mr T
Mpe hi mkuuAlikua katoka kidogo, ila soon anarudi
Kabisaa yaaani... Tena na ugomvi wa kufa mtuuYaani mtu akiomba game unawaza kuachana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Nimecheka kwa nguvu ujue.... Bae wale walikuwa ni wa mdote pale majengo bhana.... Mtoto wa watu naanzaje kumkubalia mtu kavaa msuli mieeeeh...
AiseeAhahhah me sasa kwakweli sikukumbuki hata kama kuna mengi mazuri tumewahi fanya kama tumeamua kuachana tuachane tu kwa Amani itokee tu tukutane kwa bahati mbaya tusalimiane lakini sio nianze nikutafute nimekumiss sijui nini hakunaga hiyo
Sawa tunashukuru kwa taarifa mkuuAlikua katoka kidogo, ila soon anarudi
Woiiiiiiiiii bikra ya kuchorwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nataka nikusapursizeeeee
Jamani me namuulzia shemela Shedede cku nyingi hajaonekana humu tena aliondoka na stress za talaka mwenye mawasiliano nae amtafute
Achaa nikodoeeeKama kawa kama dawa mzee wa kodooooo nakuonaa
Napenda sana shemela[emoji134] [emoji134] [emoji134] yupo nyumbani alikuwa ananizingua, unajua shemela wangu anapenda sana kunizingua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basiii Yaishe