Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Kwelii baba dMweeeuuuh wewee
Kwelii baba dMweeeuuuh wewee
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87][emoji23] [emoji23] [emoji23] humjui huyo mzee wa uchochezi
Asante mkuu tumepoteana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio watashindia hizo na soda wanaume wa dar ni sheedaHapa nimekumbuka na diamond kawaletea na karanga
AhahhahHahaha
Yule dogo ni shiida... Aiseeee sema na nyimbo zooote... Hakuna game Jamaniiii
Ahahhahah chizi weweKweli humu vinavochekesha ni vingi sasa mm nmesahau ni kipi[emoji134] [emoji134]
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa me mkubwa ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie Siwezagi maana ni tunaachaana kwa uzuri... Halafu ni ujana kweeeli.... Ukiambiwa game tuu basi tunaachaana
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
We hukuona yale makazi yao bhana... Nyumba za maana ni za wa kuja tuuYaani hawa watu ndo wanatutengenezea vizazi maskini maana unakauta kijana ameoa lakini bado anaishi kwa wazazi wake ukiuliza unaambiwa ndo tamaduni zao
Mfyuuuuu [emoji23] [emoji23]Hahaha
Huamini au... Mie nilikuwa naogopa game tuuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nzuri..sasa nina cherehani moja, bado tatu nikamilishe kiwanda
Ndo maana huwa nawakumbuka kweeeli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
OkUsiofu ni hali inayotutokea binadamu ...
[emoji41]Sijaelewa hapa mama T
Mmmh...Aiseeee obee
Asante mnoo....
Uzuri wakooo unanipa kiweweeeeee nifanye niniiii ili niwe na weweweeeeee
Shunny hujambo?Ahahhh yupo kinyerezi hataki kuitwa mwanaume wa dar
BaeMmmh...
Ujue naweza kumpiga talaka usiku huu huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naniii huyo zilipendwa nakufwa kwa kucheka
Ahahhah me sasa kwakweli sikukumbuki hata kama kuna mengi mazuri tumewahi fanya kama tumeamua kuachana tuachane tu kwa Amani itokee tu tukutane kwa bahati mbaya tusalimiane lakini sio nianze nikutafute nimekumiss sijui nini hakunaga hiyoNdo maana huwa nawakumbuka kweeeli