Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwanza ulipotea sana aunt, pili, nipo sema hii simu niliyogaiwa na anko haina line (chip) yaani ni mwendo wa Wi-Fi tu na hata namba ni ya guglo pekee sasa ndo nimegundua baada ya net kuwa inasumbua. anyway zawadi ni zawadi ila hii zawadi mjomba alikuwa na makusudi binafsi.

haya nimekuja sasa, unasemaje aunt yangu
Bhinamu heshima yakooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom