Makapuku Forum

Makapuku Forum

Lakini kuna karatasi pale ilionekana ya hosp kigamboni...ilionesha dalili za Cardiac...akaandikiwa apime ECG,ECho,na vidonda vya tumbo kigamboni vipimo hv hakuna sasa sijui alipima,na ni kweli dalili hz hufanana na pumu...mimi mwenyewe nina mwezi hv nilipata mild attach wakadhani ni cardiac..ambayo ni moyo ,nikapima vipimo hivyohivyo..namshukuru Mungu kuna dawa nilipewa..unabanwa kabisa....kichomi kikali kushoto..kupumua huwezi..niliwekewa nebulizer...wapi..then oxygen..ila Mungu mwema naendelea vizuri ukipata attach hz lazma upate huduma haraka...
Kuumbe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom