Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Makondeko upande upi, wakati wewe upo sinza![]()
![]()
kwahiyo sinza mie sitoki jamaan
Makondeko upande upi, wakati wewe upo sinza![]()
![]()
kwahiyo sinza mie sitoki jamaanNini mbaya
Kesho nitakuwa nimehamia sehemu nyingineKesho jioni nitakucheki, nipo njia panda ya muhas hapa sasa hivi
...nani kafariki tena, si unajua najuaga wa mwisho?Nimepita wamepost jeneza wakati anasafirishwa jamaan ibra siwezi ongea duniani tunapita tusameheane jamaan
Kawaida bhanaAisee kweli lazima ukumbuke
Dada toka juzi nimeona umevamiwa ila nikawa sina haki ya kuhojiKama nakuona
Nimepotea kweli binamu lakini usijal tupo pamoja mpendwa wako alikuwa anakuita anataka nyimbo ya i love you ya celine dion ukufikie we mwenyeweKwanza ulipotea sana aunt, pili, nipo sema hii simu niliyogaiwa na anko haina line (chip) yaani ni mwendo wa Wi-Fi tu na hata namba ni ya guglo pekee sasa ndo nimegundua baada ya net kuwa inasumbua. anyway zawadi ni zawadi ila hii zawadi mjomba alikuwa na makusudi binafsi.
haya nimekuja sasa, unasemaje aunt yangu
Binamu ukuje jamaan na nyimbo ya i love you
mwaya wee usikuje mpendwaNow nipo gogoni kiluvyia
Unanichekesha ujueNini mbaya
Njema mkuu habari za ujenzi wa viwandaMzima wa afya. Mambo yako?
Sawa na Mimi mnipitie hapa Njia panda ya shuleHapo hapo kaka namsubilia shemela anipitie
Usiku huu utoke kwenda wapi![]()
![]()
kwahiyo sinza mie sitoki jamaan
Ibra binamu alikuwa humu mwanzoni ila baadae akawa mtunzi wa story...nani kafariki tena, si unajua najuaga wa mwisho?
Sinza tena?Makondeko upande upi, wakati wewe upo sinza![]()
![]()
Wala usihoji we mtu mzima kaka acha wavamieDada toka juzi nimeona umevamiwa ila nikawa sina haki ya kuhoji
Umependwa au amekutaman?Hapana. Nimependwa nikapendeka!
Sawa kaka shemela usinichomeshe mahindiSawa na Mimi mnipitie hapa Njia panda ya shule
Nimekuja kwa auntie ebu acha mambo yako shemela ebu nipitieUsiku huu utoke kwenda wapi
Nipo mizani ya zamani, 50 mtrs nakata kona ya kuelekea homeKesho nitakuwa nimehamia sehemu nyingine