Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Kumbe!!Ulikuwa na gens za hii hali tokea mwanzoo ....
Kumbe!!Ulikuwa na gens za hii hali tokea mwanzoo ....
Bila shaka msimu ujao twende kulima TangaTukalime huko baba watoto
Wao wako bize na kunywa kahawa na kusoma magazeti asubuhi wakuja ndo unawakuta wako bize na kaziAiseeena wenyewe hawana muda nayo
Ahaaa vizuriHapana husna mm napenda sana kujijua nikimanisha kumjua mwanadamu na mambo yanayomzunguka ....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi shemela nishaelewa kakumbuka zilipendwa woiiiiiiiiWewe mtu mzima ujue
Hapo jirani na magari sabaAahah na mie nipo kibamba makondeko
HahahaaUlikulamo niniii [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kesho jioni nitakucheki, nipo njia panda ya muhas hapa sasa hiviNjia panda ya shule
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109][emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kama nakuonaNaona umefanya uvamizi
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] asante mkuuNote ; pumu ni hali sio ugonjwa
Kuna sehemu nilijisahau nkatumia mgonjwa ....
Aisee kweli lazima ukumbukeEnzi zile bhana... Daaaah ilikuwa kama sitazeekaa..... Nanyoa panki lakini watu hawalalii.....
Sakayo, kidali pooo..... Aaah, popote ulipo kidali poo wa Sakayo nakumiss
Mzima wa afya. Mambo yako?Mzima demi
Hapo hapo kaka namsubilia shemela anipitieHapo jirani na magari saba
Makondeko upande upi, wakati wewe upo sinza [emoji3] [emoji3]Kweliii shemela nipitie [emoji85] [emoji85] nasimama kituoni
Hapana. Nimependwa nikapendeka!Naona umefanya uvamizi
Binamu ukuje jamaan na nyimbo ya i love you
Dada basi uwe unamkumbuka jamaan japo kumtumia halopesa ujue kama ulikulamo [emoji134]Hahahaa
Hela bhana....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kesho jioni nitakucheki, nipo njia panda ya muhas hapa sasa hivi
Hivi wakojee... Mie hapo tuu ndo walinishinda tabia kwa kweeli... Hawawazi chochote wale watu kabisaa...Wao wako bize na kunywa kahawa na kusoma magazeti asubuhi wakuja ndo unawakuta wako bize na kazi