Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Niko poa dada habari Za hukoHope uko mzima kaka etu
Niko poa dada habari Za hukoHope uko mzima kaka etu
Asante nimesha karibiaNaona umerudi kaka karibu tena
Nafikiri siku anamfunga Sauzi alikuwa kam eza dozi na watu tukaamini kapona![]()
![]()
![]()
nimecheka sana hapo kwenye chizi haponi hutuliza mzuka
Sawa me namalzia kupika hapaNipo njiani narudi nyumbani my swi
Hku kwema kaka pole na mihangaikoNiko poa dada habari Za huko
Nikirudi nitamtafuta maana najua atakuwa mwenyeji wa kunipeleka sehemu zaidi ya nilizo zionaNakuombea kaka ufanikiwe ungemtafuta kaka angu mzeewakungoa huko
Nafikiri siku anamfunga Sauzi alikuwa kam eza dozi na watu tukaamini kapona
Leo kasahau kumeza dawa tuliokuwa tunamsifia wote tumeumbuka
Kichaa huwa haponi isipokuwa Siku nyingine huamka vizuri na Siku nyingine
Hata kitaani yupo baadhi ya siku huwa sawa ila siku nyingine kutembea uchi wa mnyama
Ni kosa kumwekea dhamana chizi
...

Mara ya kwanza nami nilidhani uongo...kile cheti cha vipimo kilichowekwa kimefutwa jina ,tarehe,mwaka alafu vikaandikwa tena..nikadhani ni yeye anajoke...yaani sijui kwanini iko hv..PUMZIKA KWA AMANI IBRAMungu saidia icwe kweli,nlivoona bandiko lile roho imenuima nmekosa raha kwa kweli
Ahahha ngoja aanze na wa husna i love u halaf uje kuku kapanda baiskeliObe
Naomba wimbo wa Mr Nice
Asante mama watotoSawa me namalzia kupika hapa
Nafikiri siku anamfunga Sauzi alikuwa kam eza dozi na watu tukaamini kapona
Leo kasahau kumeza dawa tuliokuwa tunamsifia wote tumeumbuka
Kichaa huwa haponi isipokuwa Siku nyingine huamka vizuri na Siku nyingine
Hata kitaani yupo baadhi ya siku huwa sawa ila siku nyingine kutembea uchi wa mnyama
Ni kosa kumwekea dhamana chizi
...

Dada tanga wana ardhi nzuri sana kwa kilimo cha kila ainaZipi hizo kaka tukazitafute
Atakupeleka kokote utakakoNikirudi nitamtafuta maana najua atakuwa mwenyeji wa kunipeleka sehemu zaidi ya nilizo ziona
Sawa na kibaha anaishi kwenye Yale majengo yalikuwa ya mizani auTabata kinyerezi ndio kwao
Sawa mamaTHahaha
Mie nataka kutoka hukoo