Japokuwa hata mazingira yanachangia hii hali lakini kiukweli ni ugonjwa wa kurithi maana yake its Genetic Disorder....husna amezungumzia namna ya kujikinga vizuri inshort unatakiwa uishi kwenye mazingira ambayo yanaruhusu uwepo wa hewa safii nikimanisha zoezi zima la upumuaji liende vizuri...hewa nzito (chafu) kwa mgonjwa ni shida kwelii....ebu angalia hii picha kwa umakini
..