Makapuku Forum

Naendelea vzr kiasi niko ila roho haina amani I don't know why
Ila Mungu atanisimamia
Simama Imara katika maombi,utashinda mpendwa Mungu anakupenda sana,mimi nakupenda sana,MAKAPUKU wanakupenda sana stop worrying..GOD is controling everything...I LOVE YOU MUMMY,PRAYING FOR YOU.

YEREMIA 29

11.Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi,asema BWANA,ni mawazo ya amani wala si mabaya , kuwapa tumaini siku zenu za mwisho

12.Nanyi mtaniita ,mtakwenda na kuniomba,nami nitawasikiliza

13.Nanyi mtanitafuta na kuniona,mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

14.Nami nitaonekana kwenu,asema BWANA.
HIYO NI AHADI YA MUNGU KWETU...OMBA ATASIKILIZA NA KUKUPA AMANI ,HAKIKA HATAKUACHA PEKE YAKO.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hapa itabidi trump achemshe bongo kabla hajapagawa maana huyu mapanki anaonekana si Wa kisportsporti atii
 
Tanx so much hny
Amen
Nawapenda pia
 
Kafa mdogo sanaa
Maisha ni jinsi ulivyoigusa mioyo ya watu sio miaka uliyoishi
Au tuseme Mali/mchango wako kwa familia/ndugu/jamaa/marafiki

Hata Jf mtu huwezi kujivunia eti ulikuwepo wakati ikianzishwa 2006 wakati hadi leo haujafanya au haina mchango wowote jamvini

Mi best friend wangu alifariki akiwa na miaka 20 tu ila bado anaishi moyoni kwangu na nikijaaliwa mtoto wa kiume nitampa jina lake ili kumuenzi
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…