Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
GoodUzuri wa bitoz mpira ukiisha tu huwa hana kinyongo tena

AmenTUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu tunakushukuru kutuamsha salama ,tunaomba ututakase utusamehe yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno ,matendo...mwezi huu wa saba na wiki hii tunajikabidhi mikononi mwako tunaomba utuepushe na magonjwa,mateso,shida ,dhiki na kukata tamaa vyote visitamkwe kwetu.
Tunakabidhi kazi zetu,familia ndoa na mipango yetu mikononi mwako,uwe nasi siku zote tutetee Mfalme wa Amani.
Imarisha AMANI kila mahali hasa katika eneo la KIBITI BABA ingilia kati ,sema neno Baba takasa eneo hili.
Tunaomba utusaidie hapa MAKAPUKU kuwa na Upendo ,Mshikamano na kuchukuliana adui asitutenge.
Tunawaombea watoto wetu wengi wanafungua shule siku yaleo waongoze Baba popote walipo kuza ufahamu wao,wajitambue wakushike wewe na uwe kimbilio lao katika mambo yote ya kimwili na kiroho adui asiwateke.
Bariki wasafiri popote waendapo DAMU YA YESU IWAFUNIKE Angani,Majini,Nchikavu
Asante BABA maana utatenda sawa na mapenzi yako.Katika jina la Yesu AmenSIKU NJEMA
![]()
![]()
![]()

NzuriHusna muba za wewe
Mwambie huyooooNdio kilichoumbiwa Dunia, mengine ni ziada tu
Ndivyo ilivyoUmejuajeeee
HeeDNA sio ya kuamini
Mukongo mamboAmen![]()
Papaa werason waubani Wa bhAmen![]()

Haya weeNdivyo ilivyo
AmenTUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu tunakushukuru kutuamsha salama ,tunaomba ututakase utusamehe yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno ,matendo...mwezi huu wa saba na wiki hii tunajikabidhi mikononi mwako tunaomba utuepushe na magonjwa,mateso,shida ,dhiki na kukata tamaa vyote visitamkwe kwetu.
Tunakabidhi kazi zetu,familia ndoa na mipango yetu mikononi mwako,uwe nasi siku zote tutetee Mfalme wa Amani.
Imarisha AMANI kila mahali hasa katika eneo la KIBITI BABA ingilia kati ,sema neno Baba takasa eneo hili.
Tunaomba utusaidie hapa MAKAPUKU kuwa na Upendo ,Mshikamano na kuchukuliana adui asitutenge.
Tunawaombea watoto wetu wengi wanafungua shule siku yaleo waongoze Baba popote walipo kuza ufahamu wao,wajitambue wakushike wewe na uwe kimbilio lao katika mambo yote ya kimwili na kiroho adui asiwateke.
Bariki wasafiri popote waendapo DAMU YA YESU IWAFUNIKE Angani,Majini,Nchikavu
Asante BABA maana utatenda sawa na mapenzi yako.Katika jina la Yesu AmenSIKU NJEMA
![]()
![]()
![]()
Inaonekana ni kweli![]()
![]()
wewe wasema
Leo hapana![]()
kanunue sasa
Umeibuka mukongo.... Idd umelia Lubumbashi nn?Amen![]()
Kweli nina matukio mawili ya kushangaza sana
Alikuwa goma kwenye mapiganoUmeibuka mukongo.... Idd umelia Lubumbashi nn?
Poa tu
Ndio ni kweli sasaInaonekana ni kweli
Ngoja nimwite Obe anisaidie kujibu.Ndio ni kweli sasa