Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Morninh dingiGood Morning kamanda
Morninh dingiGood Morning kamanda
Ngoja nimwite Obe anisaidie kujibu.

Kwema huko?huko kamandaMorninh dingi
Shukrani mdauView attachment 534418Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa bitoz na Clkey
Nawatakieni mwanzo mwema wa wiki
KaribuuMorning family....
Leo katika Historia itawajia hivi punde tu.... Kwa udhamini mnono kabisa wa soka safi ya timu ya Ujerumani
Ahsante mzee wa kupasha
Pamoja sana bitoz na pole piaShukrani mdau
Kipigo walichokipata Chile jana kilinifanya nilale kwa sura ya mnuno
.......
Karibu ankaliMorning family....
Leo katika Historia itawajia hivi punde tu.... Kwa udhamini mnono kabisa wa soka safi ya timu ya Ujerumani
Shukrani mdau
Kipigo walichokipata Chile jana kilinifanya nilale kwa sura ya mnuno
.......

Asante nawe pia mkuuKwa udhamini mnono kabisa wa Timu ya ujerumani leo katika Historia haina la ziada.
Niite Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye mafanikio na furaha tele.
Ciao !!!