BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Morning mkuu ShululuMorning all kapuku
Morning mkuu ShululuMorning all kapuku
ShimbaaaaasssAsante mama Mchungaji. Asante kwa kutuombea na kutupa neno bila kukoma. Roho Mtakatifu bila shaka Atalihuisha neno hili ili hatimaye likaweze kuzaa matunda. Kazi yako hii si ya bure!
AsanteTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu tunakushukuru kutuamsha salama ,tunaomba ututakase utusamehe yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno ,matendo...mwezi huu wa saba na wiki hii tunajikabidhi mikononi mwako tunaomba utuepushe na magonjwa,mateso,shida ,dhiki na kukata tamaa vyote visitamkwe kwetu.
Tunakabidhi kazi zetu,familia ndoa na mipango yetu mikononi mwako,uwe nasi siku zote tutetee Mfalme wa Amani.
Imarisha AMANI kila mahali hasa katika eneo la KIBITI BABA ingilia kati ,sema neno Baba takasa eneo hili.
Tunaomba utusaidie hapa MAKAPUKU kuwa na Upendo ,Mshikamano na kuchukuliana adui asitutenge.
Tunawaombea watoto wetu wengi wanafungua shule siku yaleo waongoze Baba popote walipo kuza ufahamu wao,wajitambue wakushike wewe na uwe kimbilio lao katika mambo yote ya kimwili na kiroho adui asiwateke.
Bariki wasafiri popote waendapo DAMU YA YESU IWAFUNIKE Angani,Majini,Nchikavu
Asante BABA maana utatenda sawa na mapenzi yako.Katika jina la Yesu AmenSIKU NJEMA
![]()
![]()
![]()
Kapotea km pesaaa cjui alitekwaaaHbr ya cku mkoromije
Ubarikiwe sana mkuu asante kwa magazeti ,asante Clkey na Bitoz kwa udhaminiView attachment 534418Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa bitoz na Clkey
Nawatakieni mwanzo mwema wa wiki
MorningMorning family
Sisi pia tunakumisNawamiss jamn
Sa waMsalimieni Jimena, akifika hapa nijulisheni wakuu
Jimena
Morning QuigleyMorning family
Ubarikiwe Husna MubaAmen
AbeeeMama mchuchu ...
Ubarikiwe Obe siku,wiki,mwezi mwema kwako.asante kujaliAmen! Kuanza siku kwa sala ni jambo jema. Asante
Kiba kapime dna
ShukraniView attachment 534418Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa bitoz na Clkey
Nawatakieni mwanzo mwema wa wiki
Wooooooyoooooooooooooooooo.....
Akya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya
Hili gazeti litanitoaa rohoo
kanunue sasa