Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu tunakushukuru kutuamsha salama ,tunaomba ututakase utusamehe yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno ,matendo...mwezi huu wa saba na wiki hii tunajikabidhi mikononi mwako tunaomba utuepushe na magonjwa,mateso,shida ,dhiki na kukata tamaa vyote visitamkwe kwetu.

Tunakabidhi kazi zetu,familia ndoa na mipango yetu mikononi mwako,uwe nasi siku zote tutetee Mfalme wa Amani.

Imarisha AMANI kila mahali hasa katika eneo la KIBITI BABA ingilia kati ,sema neno Baba takasa eneo hili.

Tunaomba utusaidie hapa MAKAPUKU kuwa na Upendo ,Mshikamano na kuchukuliana adui asitutenge.

Tunawaombea watoto wetu wengi wanafungua shule siku yaleo waongoze Baba popote walipo kuza ufahamu wao,wajitambue wakushike wewe na uwe kimbilio lao katika mambo yote ya kimwili na kiroho adui asiwateke.

Bariki wasafiri popote waendapo DAMU YA YESU IWAFUNIKE Angani,Majini,Nchikavu

Asante BABA maana utatenda sawa na mapenzi yako.Katika jina la Yesu Amen SIKU NJEMA
 
Aminaa mama mchungaji. ..Asante kwa baraka ...
 
UF ...
7c3b268312d87eb1478b3aada1c67291.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom