Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Itakuwa km zile movie za Korea tu (nahisi)Hivi story zake zikoje, leo nitalinunua aisee
Itakuwa km zile movie za Korea tu (nahisi)Hivi story zake zikoje, leo nitalinunua aisee
Siasa za kiafrica za ovyo sanaMagufuli asije akakosea tu kuhusu lowasa ni mtu mkimya lakini mwenye watu wanaompigania nyuma yake
Isije ikawa chanzo cha nchi yetu kuvurugika
I love tanzania
MornMorning family
Miss you tooNawamiss jamn
Hayaa uskonde mzee babaaMsalimieni Jimena, akifika hapa nijulisheni wakuu
Jimena
Chile walipaswa kugeuza formula yao![]()
......... Chile walikuwa wazuri kabla ya mpira na bado wakauendeleza uzuri wa mjerumani ndani ya dakika 90 ....ubora wa kumiliki mpira kwa chile sio jambo la kushangaza ila cha kushangaza ni jinsi falsafa za Joachim zilivowasaidia vijana wake ambao waliingizwa wengi wakidhania kama utani vileee ....make kukikosaa kile kikosi originoo wengi tulishaanza kunungunika ...
Ujerumani na ubora wao uliojificha yaan hakuna tantalilaaa kibao ila wanachokifanya kimeanzia darasaniii....
Joachim Low Huyu ndiye mwenye ubora halisi wa mafanikio ya mwendelezo wa uwekezaji wa mpira wa Ujerumani mpaka sasa.
Achana na vipaji, umri lakini Wajerumani wanacheza mpira wao kwanza darasani kabla ya kuja kuumalizia uwanjani. Wamewafanya Chile waone mpira ni kazi ngumu sana lakini wao wanafanya mpira ni kitu kirahisi sana kama walivyoumaliza mchezo kiurahisi mno...
Best team so far.... Best technical bench
Sanchez na vidal wake walilipania hili kombe ila mipango ilifanikiwa wakati wakiwa dressing room kabla ya kufanya kweli ndani ya dimba ....make bao la dk ya 20 kudumu dakika 90 na kuwafanya watu wanyanyue makwapa unadhanii Wachile usingizi wameupata kweliii ???
Yote sawa ndo mpira ....Sanchez rudi kwa babu yako kashakumis
HeThat I can't guarantee
Uzuri wa bitoz mpira ukiisha tu huwa hana kinyongo tenaMadengeee njoo nikufarijiiiii
Bitoz anatia hurumaaaaa.....
Husna muba za wewe![]()
![]()
itakuwa ndio mazoezi yenyew hayo anayoyazungumzia
Good Morning kamandaMorning family
UmejuajeeeeKinachomkwamisha trump na Japani na korea kusini kuishambulia korea kaskazini ni Uchina na Urusi
Urusi na china hawatakubali kuona korea kaskazini ikishambuliwa
Ndio kilichoumbiwa Dunia, mengine ni ziada tuWewe unawazaga kwichiiii mda wotee
Tukawa wakimbizi.....Magufuli asije akakosea tu kuhusu lowasa ni mtu mkimya lakini mwenye watu wanaompigania nyuma yake
Isije ikawa chanzo cha nchi yetu kuvurugika
I love tanzania
Morning mama mchungajiMorning mkuu Shululu
Nani alimtuma ajaribishe na wakati hela hana?,Kuwa na huruma![]()
![]()
![]()
Asante kwa kuyapitia mama mchungajiUbarikiwe sana mkuu asante kwa magazeti ,asante Clkey na Bitoz kwa udhamini
Amen na wewe piaUbarikiwe Husna Muba
DNA sio ya kuaminiKiba kapime dna