Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Nimeshakaribia....Karibu ankali
Nimeshakaribia....Karibu ankali
Asante. Hebu nipige assist kidogo basiHabari za asubuhi wajanja wote mnaopatikana humu
Naona week nimeanza
Wale wa ofisini mpo ofisini
Wakulima wapo shambani
Wa kuchat wapo mtandaoni
Matapeli wapo kwenye assist zao
Yaani kila mtu na kwake
Niwatakie Jumatatu njema
.......
My pleasure!!Asante nawe pia mkuu
Ubarikiwe kwa kazi hii nzuri
Kama Kawa Kama dawaHabari za asubuhi wajanja wote mnaopatikana humu
Naona week nimeanza
Wale wa ofisini mpo ofisini
Wakulima wapo shambani
Wa kuchat wapo mtandaoni
Matapeli wapo kwenye assist zao
Yaani kila mtu na kwake
Niwatakie Jumatatu njema
.......
Asante husna kwa kujali afya zetuAfya... UKWELI MCHUNGU...
Binadamu akishafika miaka 30 mwili wake unaanza kufifia... na karibia mfumo ( systems ) mingi sana ya mwili ndio huwa katika kilele cha ufanisi na baada ya hapo ndio huanza kupungua hadi kifo. kikawaida hata mtu asipougua kabisa, kuna umri seli zake hukoma kujigawanya ( kujizalisha )
na baada ya hapo inafatia mifumo kushindwa kufanya kazi na hatimaye kifo ( cha uzee )
uzee nao hauna miaka ... binadamu tunatoautiana kasi ya seli kugawanyika... hi inachangiwa na chakula...na mazingira...
nataka kukushauri kwamba ukishafikia miaka 30 anza kupunguza baadhi ya vitu vinavyochosha mwili... mfano vile na sigara...na machemichali ya ajabu ajabu...
#Thinking_loud
Afya... UKWELI MCHUNGU...

Avatar nimeielewa.Morninh dingi
Usinikumbushee machunguu![]()
![]()
![]()
ukute hata habari yenye humo ndani haipo
Morning family....
Leo katika Historia itawajia hivi punde tu.... Kwa udhamini mnono kabisa wa soka safi ya timu ya Ujerumani

Happy birthdayLeo katika Historia
3/7/1987 - Sebastian Vettel anazaliwa.
Ni mwendesha magari maarufu toka Ujerumani.
Leo katika Historia
3/7/1997 - Amado Carrillo Fuentes. Muuza madawa ya kulevya mashuhuri toka Mexico afariki Dunia.
Germany machine, Asante ankali kwa leo katika historiaKwa udhamini mnono kabisa wa Timu ya ujerumani leo katika Historia haina la ziada.
Niite Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye mafanikio na furaha tele.
Ciao !!!
Asantee auntKwa udhamini mnono kabisa wa Timu ya ujerumani leo katika Historia haina la ziada.
Niite Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye mafanikio na furaha tele.
Ciao !!!
Hapo mwisho umeua kabisaHabari za asubuhi wajanja wote mnaopatikana humu
Naona week nimeanza
Wale wa ofisini mpo ofisini
Wakulima wapo shambani
Wa kuchat wapo mtandaoni
Matapeli wapo kwenye assist zao
Yaani kila mtu na kwake
Niwatakie Jumatatu njema
.......
Binamu uko poa ??....kweli aisee, nimeamua kupunguza vitu vinavyochosha mwili. Nimeanza na nyweli, nazikata kila wiki, na kunyoa pale ninapoona mwili unachoshwa.
Asante lwa ushauri Husna mpendwa wangu. Umeamka salama lakini
Aisee
Huyu jamaa alikuwa mfanyabiashara a.k.a Don mkubwa wa Juarez Cartel mara tu baada ya kumuua boss wake na kujitwalia ufalne![]()
.......
Asante kwa magazeti ankaliView attachment 534418Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa bitoz na Clkey
Nawatakieni mwanzo mwema wa wiki
Mambo SukariMukongo mambo