Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Usinifanyiee hivooHahaha baadae kidogo
Usinifanyiee hivooHahaha baadae kidogo
Hapa kazi tuAnaenda yeye , mimi niko hapa tu.
Ni mpenzi sana wa mizengwe itv, leo watanisamehe
Kweliii ila uzur nishaelezaa mwanzoniiAiseeeee
Kinachonifurahisha ni umoja wao wa kufanya kazi kama kundi make limedumu sanaHa ahahahahaha, duh! Hawa jamaa huwa nawakubali sana kila jumapili. Wanawweza kuwa ni kundi bora kabisa kwa vichekesho
Ukweli jamaa wako vizuri sanaHa ahahahahaha, duh! Hawa jamaa huwa nawakubali sana kila jumapili. Wanawweza kuwa ni kundi bora kabisa kwa vichekesho
Nko poa baba watoto unaendleajeUko poa lakini my swi
SanaKinachonifurahisha ni umoja wao wa kufanya kazi kama kundi make limedumu sana
...hivi Kichuya anachezea nchi gani? au nachanganya mambo hapa?
Asante mdau sana kwa magwazweti ya lweo, nimeyasoma kwa uzwuri kabusa

Niko poa kabisa my swiNko poa baba watoto unaendleaje
Ngomaa badooo mbichiiii ila pitia nilichoandika asubh alafu ona uzembe unaofanywa na chileTushaliwa jaman mapema hii
Leo kaenda kusalimia mama mkweNiko poa kabisa my swi
Mama D leo sijamuona
AiseeNachukua mwali mimi
..mwenyewe nashangaa sijui kaingiajeingiaje humu wakati tulikuwa tunaongelea mambo yetu ya Eid pili na kumisiana, wewe unadhani kaingiaje?
ngoja nicheke tuAisee, jambo jema sana kuona wazaziLeo kaenda kusalimia mama mkwe