Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Sio kitu ya kuulizaMwendawazimu kapata unafuu
Ila timu yenye nayo kibonde tu
Sio kitu ya kuulizaMwendawazimu kapata unafuu
Ila timu yenye nayo kibonde tu
Mimi leo niko kwa mjerumani..Wachile wote mnyooshe vidole tuanze kuhesabiana
![]()
![]()
![]()
......
Basi hapo mtasahau hadi kulaWachile wote mnyooshe vidole tuanze kuhesabiana
![]()
![]()
![]()
......
Mtafute faizaFoxy kwenye uzi wowote umuulizeMi hata sivijuagi ivyo
Mukifungwa mnaishiwa swagerNdio raha ya ushindi
Kumbe mnajijua etNdio zetu
![]()
![]()
![]()
.....
All the best our boysCHILE XI![]()
......
SawaMimi leo niko kwa mjerumani..
Wewe siwezi kukuassist
Bora ninunue gunia la pumba nilishe bata
.....
Ha hahahahahaha, basi haki ya nani tena nimeakuamini.
Mimi na wewe tena, hata ukiwa na Bitoz nakuamini tu
Kila mtu na starehe yakeBasi hapo mtasahau hadi kula
HaaaaahaaaaWewe siwezi kukuassist
Bora ninunue gunia la pumba nilishe bata
.....
Mtafute faizaFoxy kwenye uzi wowote umuulize
kapotea kweli siku hzNachukua mwali mimiSawa
Mimi na Clkey yupo kwa Sanchez
.....
Wasikutie pressure tuAll the best our boys