Makapuku Forum

Makapuku Forum

...ndo huyu bhana alikuwa anaonesha kutoridhishwa na kodi alizokuwa anadaiwa na mamala ya usafir huko States (DMV) lizibeba kwenye matoroli matano kama sikosei. Ipo youtube ha ahahahaha, lakini sio fair kabisa but coins ni halali kwa malipo
Aliwakomeshaaaa .... nasikia walihesabuu wakachokaa
 
206bd1238beda7851c1a17bb3bdb1fde.jpg

Wakuu nimeuza mbuzi na bata mwenye shida aje PM nimuassist

....

 
Husna, mpendwa wangu mwenyewe, asante kwa maua.

Ushauri ulionipa pale juu naufanyia kazi ila ni ngumu kuutekeleza, najua naweza kufanya fake life, pretence. Lakini mwisho wa siku narudi kuwa me.

Usela, no, sio msela mimi sema napenda kuyafanya maisha yangu kuwa rahisi na yenye furaha.
Mama mchungajiiiiiii.... ...Obe anakuita huku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom