Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Huwezi jua Usiku kaingia bed muda gani halafu "kapigana" usiku kuchaMorning
Unalala mnoo shemela bhana
.......
Huwezi jua Usiku kaingia bed muda gani halafu "kapigana" usiku kuchaMorning
Unalala mnoo shemela bhana
Asante kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo mkuu Shululu.View attachment 533838Kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji
Niwatakie jumapili njema
Jumapili ipo poa kabisaJamani kwema hapa wapendwa
Kazi muhimu kuliko kuchatMorning family. Nilikuwa busy sana siku mbili hizi zilizopita Ila nadhani kuanzia kesho ntakuwa nimemaliza haya majukumu. Nawamiss sana
Hii kauli serikali haizuii kuuza mazao nje katoa nani
Pamoja sana wadauLeo nipo upande wa Chile sipendi timu moja itawale dunia muda mrefu
.
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
......
Asante kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo mkuu Shululu.
Morning ankaliMorning family. Nilikuwa busy sana siku mbili hizi zilizopita Ila nadhani kuanzia kesho ntakuwa nimemaliza haya majukumu. Nawamiss sana
Same to you Sakayo
Kanisani???Kazi muhimu kuliko kuchat
Umeamkaje ?
Nenda kanisani
![]()
![]()
![]()
.....
Asante kwa kuyapitia ankaliAsante kwa magazeti anakali
Mungu anakuona ujueKanisani???
Sidhani
HBD Patrice LumumbaLeo katika Historia
2/7/1925 - Patrice Lumumba anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo zamani Zaire.
Aliuwawa kikatili mwaka 1961 chini ya Dikteta Kanali Joseph Desire Mobutu