Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Akya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Akya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya
Anaenda kuweka heshima baa huyoo
Sikutegemea ushindiHahaha lol bado nakumbuka asubuh ulivyosema leo kichwa cha mwendawazimu wanacheza
AfAdhali ubaki mpendwa maana ningekumisijeeAnaenda yeye , mimi niko hapa tu.
Km mathiala vireeeTumepitaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mm yaani hapa tunasherehekea ushindiSikutegemea ushindi
Navuta muda tu hapa nasubiri game la wababe
Germany v Chile
Saa 21;00
Game likianza tu napotea
Kwa wale wa AzamTv mzigo utakuwepo KBC LIVE
........
Kwahiyo?!Ww si umepata kazi benki juzi tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
. ......
Poa Mondray za wwClkey,husna mambo..
Ndio amejua leo [emoji3] [emoji3][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mbona tulishapeana tangu idi pili
AiseeKweli Malinzi alikuwa kikwazo aisee yn Rumande cku 2 tu tumeshaaanza kuifunga S.A je angefungwa mwaka c tungeshachukua WORLD CUP [emoji23][emoji23][emoji23]
Nini tenaAisee
Mmmh!!Kweli Malinzi alikuwa kikwazo aisee yn Rumande cku 2 tu tumeshaaanza kuifunga S.A je angefungwa mwaka c tungeshachukua WORLD CUP [emoji23][emoji23][emoji23]
Weekend imeendajeNnalo basi?!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mbona tulishapeana tangu idi pili
Hivi ni masiala au masihara? [emoji41][emoji15] [emoji15] masiala hayoo
Kabisaa yan hapana chezeaaSisi sio wa mchezoooo
Lesotho na Zimbabwe hutazami [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sikutegemea ushindi
Navuta muda tu hapa nasubiri game la wababe
Germany v Chile
Saa 21;00
Game likianza tu napotea
Kwa wale wa AzamTv mzigo utakuwepo KBC LIVE
........
Mwanasport kwenye ubora wakeHata mm yaani hapa tunasherehekea ushindi