Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nimefanyaje kwaniMuonee!
Nimefanyaje kwaniMuonee!
Nakupenda ujueHaya bwana
Mie nakupenda zaidi mdogo wangu wa darNakupenda ujue
nilikuwa naskiza tu nyimbo zao namjua mke wa Beckham tuLakini kundi la spice girls ulikuwa unaliona snipes
Nimekuelewa sana snipes naomba sikukuu yangunilikuwa naskiza tu nyimbo zao namjua mke wa Beckham tu
Hivi lini unakuja lakini hukuMie nakupenda zaidi mdogo wangu wa dar
khaa kumbe mpaka Kelly duuh kweli mziki nimeujua siku hizi
Walishapiga ngoma kibao km vile Say You Be There na kuiteka dunia kabla ya kusambaratika na kila mtu kufanya kazi kivyake ila yeye na Kelly Rowland pekee ndo waliomudu na kutamba![]()
Mfano Kelly Rowland akatikisa na Dilemma alioshirikiana na Nelly
.......
.............
haahaaha naona ulikuwa unavuta kwenye target mpaka nimekaa haya fyatuaNimekuelewa sana snipes naomba sikukuu yangu
Inawezekana jamaankhaa kumbe mpaka Kelly duuh kweli mziki nimeujua siku hizi
haahaaha naona ulikuwa unavuta kwenye target mpaka nimekaa haya fyatua
nifyatue nini sasa mchoyo wewe umemaliza kula sikukuu huko mwenyewe ndio umerudiNaja mwezi wa nane mamy...Hivi lini unakuja lakini huku
Nimekutana na Manga Mmu
Wa mda toka 2013 ukuje nakusubili kwa hamu nikutembeze mpaka ujuteNaja mwezi wa nane mamy...
Manga halafu kumbe wa siku nyingii.... Sijuii anapoteleaga wapi
amna mshikaj nilitekwa unajua![]()
nifyatue nini sasa mchoyo wewe umemaliza kula sikukuu huko mwenyewe ndio umerudi
hata hao akina Beyonce basi enzi hizoInawezekana jamaan