manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Kabisa mkuu na shule unajua haina mwisho ni kuwa na utayar tu wa kupokea mambo mapya kila siku...Si lazima tuanzishe kitu pamoja, lakini tunaweza kujifunza vitu mbali mbali kutokana na experience za watu katika maeneo tofauti.