Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Aisee.Kamuulize invisible....Mimi sihusiki
..................
Aisee.Kamuulize invisible....Mimi sihusiki
..................
Mtafutie youngblood, sizzya007 pamoja na ibra87 watamfaa huyu binti.Mgeni mzuri sana wewe wala usijali wacha nikachimbe magimbi wakati nakula kikonosi hapa...Mda si mda yataiva..
True.![]()
![]()
![]()
![]()
Unavyozidi kupost km upo kwenye list ya TOP 20 ndo unazidi kwenda chini coz inawahusu wenye post chache
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
....................
Hata usiwaze na kuyafikiria hayo, ni mambo ya kawaida sana.Hahahahah mshana jr anatufunguaga mengi ila nyuzi zake nyingine ukizisoma unaweza usilale
Hapa EMMYGUY patamfaa.
Asante bi dada, naona wikendi sio mbaya sana.W/end ni poa kabisa... Karibu tuvute upako na gospel music hapa
Kama una miezi kumi hivii.Ni kwli mkuu tena hata kamba mguuni haijatolewa ila vile nainjoy cjion km mgeni tena asanten makupuku wte!!!!
MhHata usiwaze na kuyafikiria hayo, ni mambo ya kawaida sana.
Ufafanuzi tafadhali![]()
![]()
![]()
![]()
Unavyozidi kupost km upo kwenye list ya TOP 20 ndo unazidi kwenda chini coz inawahusu wenye post chache
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
....................
Iko njema sana le prezdaa.List ya makapuku (wenye point 113+ post chache+ rundo la likes)
Hapo vipi![]()
................
Mbona unaguna tena?
Mimi pia mpaka sasa sijaelewa!Ufafanuzi tafadhali
Anatishaga we husomigi nyuzi zake eeeeeeeeMbona unaguna tena?
Dada zipo zimejaa, samahani kuchelewesha...karibu ukaee nakuletea chapUkinipatia fanta orange baridiiii nitahisi nipo eden my kaka
Manuu nilikuwa roadini ndo nimewasili home kama upo online nishtueMkuu karibu sana kuna mada pale juu ilikuwa inataka maelezo ya kina kutoka kwako mkuu...