Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Okay,karibu.Yah niko poa sanaaa
Okay,karibu.Yah niko poa sanaaa
Mshana jr kumbe na wewe unakujaga kututembelea karibu bhana dah inapendezaLinakaribia kupakuliwa![]()
shukrani mkuu, nina kiti tayari .. kwema lakini?Karibu sana braza kwa mara nyingine.
Hapana shemeji.Ila na wewe Shemeji unamleteaga EMMYGUY ukorofi haswa pale anapokuwa shemeji yetu..
Salama brother.nzuri mkuu, habari za uzima?
Aisee.Karibu Mtoto mzuri na tulia hapo kwenye koch nikuletee walahu smoothie kwanza..
Ni kweli Shem na saa ingine huwa unataka hadi kumsidia majukumu ya ndani....Hapana shemeji.
Mimi huwa namchana live nikiona anaboronga!
Hongera sana kaka.shukran mkuu,dakika mbili hizi nshapewa kombe!!!
Pole asee...Poa poa. Ngoja niweke simu kwenye chaji
Akizubaa nitamsaidia.Ni kweli Shem na saa ingine huwa unataka hadi kumsidia majukumu ya ndani....
Msalimie sana shemeji.Safi tu kaka. Ngoja simu ipate chaji kidogo nitakuja na shemeji yako lizziebettie
Nakumbuka shemeji.Shemeji unakumbuka mtu wa kwanza mimi kufanyiwa utambulisho na wife amaizing ulikuwa ni wewe?
Leo nimechoka sana so ukianza na ile chupa green yenye gold water itakuwa poa sanaKaribu Mtoto mzuri na tulia hapo kwenye koch nikuletee walahu smoothie kwanza..
Nani kachanganyikiwa?Huyo bwana mdogo amechanganyikiwa mpotezee.
Ok nilikuwa tu nataka kukukumbusha hilo shemeji tu...Na lingine heshima yako ni kubwa sana kwenye familia hii pia shemeji..Nakumbuka shemeji.
Ila mnanirusha roho balaa.
Usijali mumy just a minute..Leo nimechoka sana so ukianza na ile chupa green yenye gold water itakuwa poa sana
Usijali shemeji!Ok nilikuwa tu nataka kukukumbusha hilo shemeji tu...Na lingine heshima yako ni kubwa sana kwenye familia hii pia shemeji..