Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kaka manuu, ile issue tuliyokuwa tunaijadili imefikia wapi sasa maana hata shem amaizing tayari yupo!
Mkuu kuna watu kadhaa ambao tunawasubiria hapa amaizing kwa ajili ya ufafanuzi fasaha kwa ile ya kilimo cha vitunguu pamoja na tikiti ila jambilo naye alisema tayari wameshafanyanga mradi unaofanana na huo ulishirikisha watu kutoka sehemu tofauti na akasema mpaka sasa wanaendelea vema na yeye aje atupe muongozo wake ila pia kuna youngblood alikuja na wazo la kulima karafuu na yeye angekuja atupe ufafanuzi wa kina juu ya hilo, Bila kumsahau Bitoz na yeye alikuja na wazo la tukifikia muafaka wa mradi tunaoutaka tunaweza kupatiwa pesa Bank kwa ajili ya uwekezaji huo so watu hawa yabidi waje then tuone ni watu wangap tumekuwa -interested tujue namna ya kuwasiliana kwa ajili ya kwenda mbele..
 
Ni kweli kabisa kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom