Candyscorpion
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 770
- 790
Utakuwa mgeni humu, lakini karibu naona umetusoma kiasi
Ni kwli mkuu tena hata kamba mguuni haijatolewa ila vile nainjoy cjion km mgeni tena asanten makupuku wte!!!!
Utakuwa mgeni humu, lakini karibu naona umetusoma kiasi
Okey am waiting here here....Mgeni mzuri sana wewe wala usijali wacha nikachimbe magimbi wakati nakula kikonosi hapa...Mda si mda yataiva..
Vyote vipo hasa kwa ajili yako, nikuhudumie nini mpendwa wanguAsante sana, kuna kinywaji gani kimebaki humu? Nahisi kiu
Sijaelewa.![]()
![]()
![]()
![]()
Unavyozidi kupost km upo kwenye list ya TOP 20 ndo unazidi kwenda chini coz inawahusu wenye post chache
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
....................
Ukinipatia fanta orange baridiiii nitahisi nipo eden my kakaVyote vipo hasa kwa ajili yako, nikuhudumie nini mpendwa wangu
Mkuu karibu sana kuna mada pale juu ilikuwa inataka maelezo ya kina kutoka kwako mkuu...Manuu nipo
List ya makapuku (wenye point 113+ post chache+ rundo la likes)Sijaelewa.
Sijaelewa hata mimiSijaelewa.
Hahahaa... karibu sana Mkuu.Hiki kijiwe ni zaidi ya burudani..habarini wakuu
Mkuu habari za usiku.Hahahaa... karibu sana Mkuu.
Mbona mimi sipo!!List ya makapuku (wenye point 113+ post chache+ rundo la likes)
Hapo vipi![]()
................
Kamuulize invisible....Mimi sihusikiMbona mimi sipo!!