manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Karibu sana Valentina..Hodiii
Karibu sana Valentina..Hodiii
Wacha tuwasubiri then tutapata cha kujifunza hapo mkuu..Ni kweli kabisa kaka.
Karibu miss.Hodiii
Labda mngetaka kujua nini kuhusu karafuu.Mkuu kuna watu kadhaa ambao tunawasubiria hapa amaizing kwa ajili ya ufafanuzi fasaha kwa ile ya kilimo cha vitunguu pamoja na tikiti ila jambilo naye alisema tayari wameshafanyanga mradi unaofanana na huo ulishirikisha watu kutoka sehemu tofauti na akasema mpaka sasa wanaendelea vema na yeye aje atupe muongozo wake ila pia kuna youngblood alikuja na wazo la kulima karafuu na yeye angekuja atupe ufafanuzi wa kina juu ya hilo, Bila kumsahau Bitoz na yeye alikuja na wazo la tukifikia muafaka wa mradi tunaoutaka tunaweza kupatiwa pesa Bank kwa ajili ya uwekezaji huo so watu hawa yabidi waje then tuone ni watu wangap tumekuwa -interested tujue namna ya kuwasiliana kwa ajili ya kwenda mbele..
Hakuna tatizo Mkuu.Wacha tuwasubiri then tutapata cha kujifunza hapo mkuu..
Poa brother.Tusisahau kupitia hapa kujifunza nguzo kuu tano za kufikia mafanikio.
Asante sana, kuna kinywaji gani kimebaki humu? Nahisi kiuKaribu sana Valentina..
Asante MrKaribu miss.
Si lazima tuanzishe kitu pamoja, lakini tunaweza kujifunza vitu mbali mbali kutokana na experience za watu katika maeneo tofauti.Wacha tuwasubiri then tutapata cha kujifunza hapo mkuu..
Mkuu nadhani ulitoa mchanganuo fulani kule mwanzo wa uwekezaji na faida zake...Labda sasa ungejaribu kueleza kama project hiyo ikipita wapi mashamba yatapatikana na ni vip usimamizi wake utakuwa maana wengi tutakuwa mbali mbali na msimu wake ni upi, Changamoto ni zipi na mambo kama hayo mkuu..Labda mngetaka kujua nini kuhusu karafuu.
Nahisi mchanganuo wote kiujumla ndo unahitajika zaidi.Labda mngetaka kujua nini kuhusu karafuu.
Pilau.Nini kinapikwa hivyo
Valentina wacha nikuitie mtu anaye husika na vinywaji kwa wageni wote youngblood unaitwa huku ama jambilo aje?Asante sana, kuna kinywaji gani kimebaki humu? Nahisi kiu
Basi sawa kaka.Wacha tuwasubiri then tutapata cha kujifunza hapo mkuu..
Poa mkuuMkuu nadhani ulitoa mchanganuo fulani kule mwanzo wa uwekezaji na faida zake...Labda sasa ungejaribu kueleza kama project hiyo ikipita wapi mashamba yatapatikana na ni vip usimamizi wake utakuwa maana wengi tutakuwa mbali mbali na msimu wake ni upi, Changamoto ni zipi na mambo kama hayo mkuu..
Njema dadaHabar ya jion?
Pamoja sana kaka.Poa brother.