Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,002
Ni mdada mmoja kakuta hereni kwenye gari ya mumewe, mumewe anamwambia wafunge eti ni mauzauza
akaamini huyo mdada
Ni mdada mmoja kakuta hereni kwenye gari ya mumewe, mumewe anamwambia wafunge eti ni mauzauza
akaamini huyo mdadaHakuna anayemchukiaNampenda huyu mdada
Mke wa mchungaji bhana,, ni kilaza kweeliDada uyo ndugu yako ni nani jamaan
Naskia ana kanisa lake na yeye ndio mungu Wa hilo kanisa ana biblia yake pia6/Beyonce Knowles--Carter![]()
![]()
Amezaliwa Septemba 4 1981
Huu ndo usingizi wa Jay Z....Kama huna mpenzi wala usione wivu tafuta hata bata ulale nae
Beyonce na Jay Z wamejaaliwa mtoto mmoja Blue Ivy ila pia ana ujauzito wa mapacha(keshajifungua ?)
Nyota yake ilianza kung'ara akiwa Spice Girls na akina Victoria Beckham{PoshSpice). Mel B na wengineo
Ana biashara kibao akishirikiana na Jay Z mbali ya kazi zake za kimuziki
Ana mkwanja unaofikia USD Bilioni 1 na usher
.......
Yaan huyo na Halle Berry jamaan nawapendaHakuna anayemchukia
Sanasana usipompenda mtu ni kujipa stress tu
![]()
![]()
![]()
....
Kwahiyo mchungaji anafanya maombi na waumini mpaka kwenye gariMke wa mchungaji bhana,, ni kilaza kweeli

Mhsikuwa najua kama alipita Spice Girls
nini?
Sio kwa maua hayoooo
Kabisaa yaaani, tena anataka tumsaidie kuomba![]()
![]()
![]()
![]()
akaamini huyo mdada
Mchungaji Anadai hajampa mwanamke liftKwahiyo mchungaji anafanya maombi na waumini mpaka kwenye gari![]()
Lakini kundi la spice girls ulikuwa unaliona snipesnini?
sikuwa najua kama alipita Spice Girls
Kabisaa yaaani, tena anataka tumsaidie kuomba
jamaan huyo dada anasalitiwa anajifanya kavaa miwani ya mbao
Yaaani![]()
![]()
jamaan huyo dada anasalitiwa anajifanya kavaa miwani ya mbao
Mchungaji anakula kondoo alonona![]()
![]()
jamaaan
HahahhhYaaani
Sijawahi ona mwanamke wa hivyo
Usijali sweeetie..Itabidi tuwahi kuamka me saa 10 nimeshaamka usiniangushe