Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Nni tenaBaba D ukinijibu hivyo hujui tu ujue nacheka sana yaan wewe hahhahah
Nni tenaBaba D ukinijibu hivyo hujui tu ujue nacheka sana yaan wewe hahhahah
we acha tu, ila nipo gudJaman ulitekwa na nani tena lakini kakuacha salama
AsantePole jamaan Baba D
ah Destiny Child nalikumbukaBeyonce walikua na kundi lao linaitwa destiny child badae kila mtu akanza kuimba mwenyewe aise lile kundi lao lilikuwa moto
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Yanakuhusu ??
Shemela za jioniJaman ulitekwa na nani tena lakini kakuacha salama
HahahNni tena
Kama ulitekwa kwa rahaa na kula mautamu hakuna shida tekaneni tu snipeswe acha tu, ila nipo gud
Beyonce ndio alitokea hukoah Destiny Child nalikumbuka
Safi shemela wangu mie za wewe hapo za huko ulipoShemela za jioni
[emoji3][emoji3][emoji122] [emoji122] kweli ujue T
OkeySiujui mie nimekuta wanaongea na baba d
Wacha nifanye kama shunie alivyofanyaKo Unataka kusema nini
Unanipenda..Nimefanyaje kwani
Napendaga hapo tuu "mdogo wangu wa Dar"Mie nakupenda zaidi mdogo wangu wa dar
Ziko poa kabisa, baba D na D hawajambo?Safi shemela wangu mie za wewe hapo za huko ulipo
Kwa nini unapenda hapo T [emoji23]Napendaga hapo tuu "mdogo wangu wa Dar"
Hawajambo kabisa shemela sema baba d hajisikii vizuriZiko poa kabisa, baba D na D hawajambo?
Hahaaa!Kwa nini unapenda hapo T [emoji23]
Nilijua tu [emoji3]Hahaaa!
Wewe si huwa unabisha..! [emoji3]