EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Pole asee.koh koh....
Pole asee.koh koh....
Kijana ana wivu sana.Haahahahahah itakuwa anajua asee si wife kabisa yule.. youngblood unamchek ndugu yako hapa..
Usijali Mkuu.isee hapa pamekaa poa sana,kila kauli inaungwa mkono na like zaidi ya moja,ha ha haaaa!
nawaona wale top ten wakidondoka hivihivi!
maana tumechoka sasa!
wapo fresh kamanda, tunazidi kulisongeshaNzuri tu braza, Machalii wanasemaje hapo?
Naona siku za uvujaji wa pesa taratibu zinaingia.Friday hiyo
Karibu sana braza kwa mara nyingine.wapo fresh kamanda, tunazidi kulisongesha
Kijana ana wivu sana.
Hapendi kabisa mapenzi yetu yakinawili.
Aje brother!wapo fresh kamanda, tunazidi kulisongesha
Anazima moto kwa jirani wakati kwake kunaungua!!.Hahahahaha lbda kashajua madhaifu yenu ndo mana anawaingia tu!!!
Mumy pole na majukumu na karibu sana...Sisi tupo poa sijui wewe?Habar ya jion?
Imewahi kwa kuwa hana mke.Imewahi tena kijana
Thanx bae... Am gudMumy pole na majukumu na karibu sana...Sisi tupo poa sijui wewe?
Salama kabisa amazing.Habar ya jion?
Hee!Linakaribia kupakuliwa![]()

nzuri mkuu, habari za uzima?Aje brother!
Yah niko poa sanaaaSalama kabisa amazing.
Hope uko poa!
Karibu Mtoto mzuri na tulia hapo kwenye koch nikuletee walahu smoothie kwanza..Thanx bae... Am gud
Time ya kujibebisha hii