Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Vijana hatufikirii mbele mkuu.Vijana wengi huwa tunajisahau kwa kipato tupatacho kutokana na kazi tuzifanyazo sasa sijui akili za maisha hatuna?
Watu wanawaza maisha ya leo na kesho basi.
Vijana hatufikirii mbele mkuu.Vijana wengi huwa tunajisahau kwa kipato tupatacho kutokana na kazi tuzifanyazo sasa sijui akili za maisha hatuna?
Salama kabisa brother.Za jioni humu ndani
Safi tu. Uko poa braza?Salama kabisa brother.
Mzima??
Pole*koh koh....
Niko vizuri brother.Safi tu. Uko poa braza?
Friday hiyoNiko vizuri brother.
Karibu mkuu.isee hapa pamekaa poa sana,kila kauli inaungwa mkono na like zaidi ya moja,ha ha haaaa!
nawaona wale top ten wakidondoka hivihivi!
maana tumechoka sasa!
Acha tu naona kama imewahi.!!Friday hiyo
Imewahi tena kijanaAcha tu naona kama imewahi.!!
Hajui hali ya shem Nahrene anaendeleaje.
Umejuaje?Nahrene bado yupo kijiji lakini yuko poa kabisa mungu anasaidia..

Hhahaha.Imewahi tena kijana
simu si zipo!!!!??
Alikuwa busy kidogo mda ule.Ungemtafuta shemdarling ukupetipeti.
Ndiyo brother nilitaka nikamchukue wife nimemmiss sana.Hujajiandaa tena kwani ulipanga kwenda kijijini kumchukua Nahrene au
Karibu mkuu.
Hapa ni peace and love.
*_No mashauzi na kujikweza_*
shukran mkuu,dakika mbili hizi nshapewa kombe!!!Karibu mkuu.
Hapa ni peace and love.
*_No mashauzi na kujikweza_*