Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndiyo maana siku zote nasema kuajiliwa ni utumwa.

Mfano unapata mshahara laki 5
Makato kibao.
Unalipa kodi ya nyumba.
Unasomesha
Unanunua mahitaji ya nyumbani
Unataka kujenga.
Watoto wataumwa.
Utahudumia ndugu.
Utanunua nguo na vitu vingine vya luxury.
Usafiri.
Utataka umiliki shamba.
Na mambo mengine kibao huo mshahara utatosha nini kama si kufa masikini.?
Ni kweli kaka, siku zote pesa ya mshahara huwa haitoshi.
 
Linakaribia kupakuliwa
906c4581ecf77d91ccf6e5aa1e4bbedb.jpg
Utadhani hiyo pilau itakimbia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom