Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
kabisa mkuu, habari za muda?Uko salama kabisa Mkuu.
kabisa mkuu, habari za muda?Uko salama kabisa Mkuu.
Poa poa pastor wetuAsante nawe pia jimena, nimepitia mapendekezo ya wadau ntayarusha asubuhi na ukiingia kule nimtoa maelezo haya pia
Morningnawe pia
Aisee Tunamshukuru MunguMko poa kabisa ndugu zangu
Ni vyema na haki kumshukuru MunguAisee Tunamshukuru Mungu
Cc BitozHahahahaha ok mkuu nilitaka kumuuliza yle magazeti anayotupia humu huwa anayasoma hdi ndani au nivichwa vya hbr tu!!!!
Both are in the same boat.![]()
Haya ndiyo maisha yetu.
Hapo ndiyo nawashangaa walimwenguBoth are in the same boat.
Pamoja sana Mkuu.Nipo sana kwenye hili chama nalielewa sana tu mkuu
Nzuri tu braza, Machalii wanasemaje hapo?kabisa mkuu, habari za muda?
Salama kabisa Mkuu, shem mzima?Mko poa kabisa ndugu zangu
Ubinadamu kazi Juma nature aliimbaHapo ndiyo nawashangaa walimwengu
Mzima kabisa. Sijui mwenzake mzima yeye?Salama kabisa Mkuu, shem mzima?
Kazi njema Mkuu.Gmorning kapukuz, am missing all of you... Napita kwanza ntarudi baadae