Makapuku Forum

3/Blobfish
Hawa samaki muda wote wamekunja ndita kama bwana Sizonje
Ila hiyo inasababishwa na shinikizo la maji(water pressure) kuwa kubwa wakati Mkulu wetu mahasira ndo tabia yake
Hawa ni moja kati ya samaki wapuuzi
Hata wanune vipi wataliwa tu
.....
 
Mkuu hapa tunajuana kwa mengiii ...hii ndo kapuku bhanaaaaah
 
1/Human Binadamu amejaaliwa akili za kutambua manbo mema na mabaya pia kuyatawala mazingira na viumbe vingine ila usishangae ni mnyama mjinga na mpumbavu
Waswahili husema akili nyingi huondoa maarifa pia ujanja mwingi ni ujinga !!!

Binadamu anayaharibu mazingira yake mwenyewe
Binadamu wanauana wenyewe kila kukicha
Binadamu anatengeneza silaha mfano za nyuklia ambazo humwangamiza yeye mwenyewe
Wanasiasa wanaharibu utulivu wa nchi/jamii wakidhani hayatawapata wao na familia zao
Binadamu ana upumbavu wa kila aina,baadhi ya viungo kavipa matumizi yasiyo yake

Watu kila siku JF wanasoma thread za uwepo wa akina Rainyundo wazee wa kupiga assist lakini wanaendelea kutapeliwa kizembezembe tu utafikiri hawaoni wala kusikia...wengine wapo JF kwa ajili ya kutukana watu, wengine kutafuta likes na umaarufu kwa nguvu badala ya maarifa au pengine kutafuta hela

Makanisani nako Mchungaji hata awaambie waumini wanywe sabuni ya kusafishia choo wanakunywa tu
Binadamu wana mambo ya kipuuzi na ujinga uliopitiliza
.
.
.
.
.
Tukutane kesho
Mwisho
.......
 
Asante
 
Bitoz Asante sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…