Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mafanikio makubwa, nyuzi nyingi zilianza kwa mbwembwe na zimededi, kf inadunda tu
Mafanikio makubwa ya hii thread ni mabadiliko kutoka kuwa thread ya waovyoovyo hadi kuwa thread ya wajanjawajanja

Kumbuka bendera hufuata upepo ...watu wakiona tunapost sana ujingajinga(vinukta,matusi,kujisemesha tu km matahira n.k) au magumashi nao wanakuja kufanya hivyohivyo and vice versa japokuwa kila kitu kina umuhimu,faida na hasara zake
........
 
819c0a1d57314dc6a076a281b5ecc760.jpg
Hii nimeisevu kwa simu yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom