Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Donald Ngoma - YANGA
Msondo Ngoma - Simba
Haruna Niyonzima - YANGA
Haruna Lipumba - Simba
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nani kanuna?????

Donald Ngoma - YANGA
Msondo Ngoma - Simba
Haruna Niyonzima - YANGA
Haruna Lipumba - Simba
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nani kanuna?????

Inaonekana T alimweka busy sana jana.Shululu Unalala sanaaa bhana...
Mornie
Namshukuru Mungu sana nipo salama Sifa na Utukufu kwakeUsichekee mama...
Umeamka salama ??
Nimemuona Zlatan tu humu
Huku safi tu sijui wewe huko ulipo jichimbiaNzuri dingimtoto za pande hizo
Asante Shululu kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo.View attachment 532368Kwa udhamini mnono wa mzee wa peremende
Siku njema
Kwemaa kabisaaaKwema huko kamanda lee
Hili gazeti banaa
Ubavu wako wa pili yupo salama?Kwemaa kabisaaa
Hapo mie sitii nenoInaonekana T alimweka busy sana jana.
Upendo bila mikapa ya kiimani...ndio upendo wa kweli
Mpira wa jana huo sakayoShululu Unalala sanaaa bhana...
Mornie
Hehehehe ukoo wetu ndio tulivyo ankali akeIla aunt wewe niii shidaaaa ingineeeeeee ....ulimpagawishaa kinomaaaaa
Hivi Tanzania hakuna makomando wa kupeleka kibiti wakamalize hili zengwe!?
Hachomoki aiseeMalinziii kapatikanaaa
Ahaaaaah kachumbariii imezidiiii apooo ...mabeki watano mtu mmojaa

Asante sana ankali ake kwa udondozi wa magazetiView attachment 532368Kwa udhamini mnono wa mzee wa peremende
Siku njema