Makapuku Forum

Makapuku Forum

64aefa9bbf67734864de5f2d55d73e3a.jpg


Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28...

Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa pia,

Kufoji risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii inamhusu Malinzi pekee

Na Mwisho ni shtaka la kutakatisha fedha dola za kimarekani 375418 hii inamhusu Malinzi, Mwesigwa na Nsian

Na sasa werudishwa rumande na wamenyimwa dhamana.
me sijui nipo dunia ya ngapi kumbe haya yamefikia huku kweli wenye mpira wao wameamua wanataka mpira wao
 
TOP TEN
Leo nashusha vitu mapema maana nitakuwa maeneo korofi baadaye
Hebu tuwaangalie wanyama kumi wenye mambo ya kipumbavu au ambao ni wajinga wajinga au wana akili za kuzaliwa ila kwao ni mwendo wa kufanya mambo kipuuzipuuzi au hawataki tu kutumia akili zao
Karibuni
....
Aisee shusha vitu
 
7/Sheep
3f9af9003dc0e76af10055183d94b222.jpg
e55171d41a2c1b94eba231ff71be29e6.jpg

Unafuga kondoo? Wapime werevu wao!!
Kondoo nao ni wapuuzipuuzi tu japokuwa wanejaaliwa akili
Pia ni wanyama wapole....kondoo wengi ni wajinga na wazembe ndiosababu wanauawa na wanyama wengine kizembezembe
.....
Kule usukumani fisi huwa anajichukulia tu
 
me sijui nipo dunia ya ngapi kumbe haya yamefikia huku kweli wenye mpira wao wameamua wanataka mpira wao
Mwisho wa usahili wa wagombea wa uongozi pale TFF.... Ndio mwanzo wa muvi mpya kwenye uchaguzi mkuu.

Wacha tusubiri watunzi wa hadithi hii maana dude naona halilali kabisa...... Usahili unaendelea na muvi nayo inaendelea.
. TFF 2017.
 
1/Human
2f99c28d124ffe63936f4fd8733ed0ed.jpg
5e78a3ada8c0922d653f0c9d4349356c.jpg
Binadamu amejaaliwa akili za kutambua manbo mema na mabaya pia kuyatawala mazingira na viumbe vingine ila usishangae ni mnyama mjinga na mpumbavu
Waswahili husema akili nyingi huondoa maarifa pia ujanja mwingi ni ujinga !!!

Binadamu anayaharibu mazingira yake mwenyewe
Binadamu wanauana wenyewe kila kukicha
Binadamu anatengeneza silaha mfano za nyuklia ambazo humwangamiza yeye mwenyewe
Wanasiasa wanaharibu utulivu wa nchi/jamii wakidhani hayatawapata wao na familia zao
Binadamu ana upumbavu wa kila aina,baadhi ya viungo kavipa matumizi yasiyo yake

Watu kila siku JF wanasoma thread za uwepo wa akina Rainyundo wazee wa kupiga assist lakini wanaendelea kutapeliwa kizembezembe tu utafikiri hawaoni wala kusikia...wengine wapo JF kwa ajili ya kutukana watu, wengine kutafuta likes na umaarufu kwa nguvu badala ya maarifa au pengine kutafuta hela

Makanisani nako Mchungaji hata awaambie waumini wanywe sabuni ya kusafishia choo wanakunywa tu
Binadamu wana mambo ya kipuuzi na ujinga uliopitiliza
.
.
.
.
.
Tukutane kesho
Mwisho
.......
Aisee, Asante bitoz kwa kumi kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom