Mafanikio makubwa ya hii thread ni mabadiliko kutoka kuwa thread ya waovyoovyo hadi kuwa thread ya wajanjawajanjaMafanikio makubwa, nyuzi nyingi zilianza kwa mbwembwe na zimededi, kf inadunda tu
Mmmmh[emoji255]
Jana Cristina R7 nasikia kawa Man of the match[emoji3][emoji3]
Kasave penalti 3 mkuu [emoji3][emoji3]Jana Cristina R7 nasikia kawa Man of the match
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Aksante mama wa Mchungaji!!Wazima tunamshukuru Mungu za uzima karibu sana
Hii nimeisevu kwa simu yangu
Ukweli ulijaaa kabsa
Poa mondray...uko poa mtaalam!?Vpi makamanda mko poa..!!