Nimekuelewa vizuriNdio jamii hiyo yote ya watu wa walatin America huwa wanaitwa pia walatino
Argentina
Peru
Chile
Mexico
Colombia
Puerto Rico nk
Ana asili ya uoga, mviziaji sasa mwache akaangalie runingani.Samtaimu staa wa timu kapteni apige penati ya kwanza ili kuinua morali ya timu badala ya kusubiri ya mwisho aonekane shujaa
CR7 Ndo alichokuwa anasubiri matokeo yake kaenda kupiga penati yake # 5 chumbani kwake
......
Kila siku warudisha majeshii nyumaAataqafilurah mm mwoga kwa lipi Askari muoga..
MorningMorning family
Upo poa kaka!Morning
AmenZABURI 67
1.MUNGU atufadhili na kutubariki,Na kutuangazia uso wake.
2.Njia yake ijulike duniani,Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
3.Watu wakushukuru Ee Mungu,Watu wote na wakushukuru.
4.Mataifa na yashangilie,Naam,waimbe kwa furaha,Maana kwa haki utawahukumu watu.Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
5.Watu na wakushukuru,Ee Mungu,watu wote na wakushukuru.
6.Nchi imetoa mazao yake MUNGU ,Mungu wetu ametubariki.
7.MUNGU ametubariki sisi ;Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
MUWE NA SIKU NJEMA,TUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO...MBARIKIWE
Bongo tatizo ni diliItakuwa ni jambo jema ili tuondokane na mgao wa umeme
Ahadi ni jambo moja utekelezaji ndio ishu
Mfano DRC licha ya kuandamwa na Majanga ya vita umeme wanao wa kutosha tena bure kabisa
......
Pamoja sana bitozSiasa bhana
Sifuatilii sana
.
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
...
Niko poa hofu kwakooUpo poa kaka!
Nami poa sanaNiko poa hofu kwakoo
Apo vizurii mm nimeamka hapa na aunt yangu Jimena swaaaafiiiiNami poa sana
Leo katika historia itawajia hivi punde tu....
Ambayo basi leo hii tarehe 29/6/2017 italetwa kwenu nami Jimena Jimenes
Lakini kwanza tupate maneno kutoka kwa wadhamini wetu
Kinywaji asilia kutoka kule kaskazini..... Karibuni sana
You are missed..
Happy born day shemejiNjema kabisa ankali nipo hapa nimeianza wikiend kwa utulivu mkubwa kabisa...
Isomeke "kumbe" badala ya kumbuMimi ntakuwa mshamba zaidi ya wote humu ndani.hv mnakuwa na uhakika gani kama hawa mnaowaita wanawake n wanawake kweli..!!!?maana hz fake ID mh mh mh.labda kama mliwahi kukutana private jaman.msije mkawa mnasema yule wangu na huyu wangu kumbu "NYOTE NI MIDUME".teh teh teh