Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Bro kwani mimi kumpa hi shemeji yangu aggyjay kuna tatizo!!?Mbona wee ni king'ang'anizi hivyo??
Bro kwani mimi kumpa hi shemeji yangu aggyjay kuna tatizo!!?Mbona wee ni king'ang'anizi hivyo??
Hata kwangu iko njema sana, namshukuru Mungu kwa neema zake alizonijaalia.Bro mimi niko poa.
Siku yangu imeisha vizuri.
Haa... Imezidi.Bro kwani mimi kumpa hi shemeji yangu aggyjay kuna tatizo!!?

Poa brother.Hata kwangu iko njema sana, namshukuru Mungu kwa neema zake alizonijaalia.
Utampata kweli!?damtanzania nakutafuta kwa mara nyingine tena..!!
uko wapi?
Pamoja sana braza.Poa brother.
Amepata mjanja.Utampata kweli!?
Subiri wikendi iishe atakuja mwenyewe.
Le shati kubwazzz
Tumeanza na Furahi Day kama kawaida.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Week end
................
Oyeeeeee.....Makapuku oyeeeeeeeeeeee...
Vipi mkuu.Makapuku oyeeeeeeeeeeee...
Kweli kabisa,anaweza kuokota dodo chini ya mnazidamtanzania kaolewa ndoa fupi, jonax aendelee kusubiri subiri.
Hata wew ni mtuDuh!watu hawapo?
........ Ntarudi baadae.
Hhahaha.Hata wew ni mtu
Ah poa san ndugu yangu mi nipo vizuri sijui wewe?Vipi mkuu.
Karibu.
Asante sanaOyeeeeee.....
Karibu Mkuu.
Ajira hugeuka kuwa utumwa pale ambapo baada ya kuipata hutaki kufikiria tena nje ya box hapo ni shida ila Ajira unaweza kuitumia kama Stepping stone na ikakuvusha ng'ambo ya pili pale ndoto yako ilipo..Umenena poa sana mkuu, mimi kwa upande wangu naona kama KUAJIRIWA NI UTUMWA.