Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni kweli, hilo alisema ktk kuwajenga watu akimaanisha jambo la msingi ni kuwa na wazo madhubuti na lenye tija theni mwishoni tunazungumzia namna ya kulikamilishwa kwa suala la upatikanaji wa fedha.
Siku zote la kwanza ni Wazo la biashara ndipo ulitafutie mtaji.
JAMBO LA MSINGI
kuwa na wazo la biashara ambalo
Litamgusa kila mtu ndipo tujadili
Namna ya kulifanikisha
Kimsingi hata mimi ninaunga mkono kilimo kwani hakitakizuia
Kuendelea na majukumu ya
Kila siku. Tunacho kikundi hai
Wanashiriki watu wengi sana
Lina mafanikio japo tumeungana watu wa sehemu tofauti,
Japo tumevuna msimu mmoja
Tumeona faida na sasa tunamalizia maandalizi ya
Awamu nyingine.
Hii haijawahi kunizuia kuendelea na shughuli zangu za kila siku kwani hatulimi kwa mikono yetu.
Nilicho jifunza ni kupata watu waaminifu kwa kiwango cha juu.
Yote yanawezekana, pesa ipo sana la msingi ni nia THABITI.
TATIZO KUBWA VIJANA WA TZ WAOGA
KILA MTU ANATAKA KUAJIRIWA.
Niko tayari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom