Makapuku Forum

Makapuku Forum

View attachment 343305

mtama kwa wachumba.nyie makapuku mna nyumba?mtakufa kapuku.

swissme
Naona jina limekuchanganya, labda hijasoma 1 na 3.
Waliojiita makapuku haimaanishi ni maskini bali ni wale waliojiunga jf from 2014 up to date, wale wasiokuwa naajina makubwa na wenye likes chache na sio maskini.
Hata kama Mengi kajiunga mwaka jana kwa mujibu wa uzi huu ni kapuku
 
JANA LILITOKA WAZO KWA BAADHI YA MAKAPUKU KTK KUTAKA KUENDELEZA UMOJA WAO NJE YA JF, NA YAFUATAYO NI MAPENDEKEZO YAO;
Manuu...alipendekeza kuwa na SACCOS.

Bitoz...tutengeneze kikundi chenye malengo tuombe mkopo bank.

Youngblood...tuunde kikundi tulime karafuu.

Ameizing...tuunde kikundi na tuanze mradi/miradi yamuda mfupi na wa kati, mfano kulima matikiti, kufuga kuku wa nyama. Mradi wa muda wa kati ni misitu ya mbao na poles (mirunda, na nguzo)

Haya ndiyo mawazo ya baadhi ya makapuku
Naona yote yamekaa vizuri, kuna mjumbe mmoja shem amaizing alijaribu kugusia kwamba kama kutakuwepo na uwezekano tujaribu kuchangia mawazo kwa 70% ili kwa ile % inayobaki ndo tuiweke kwenye pesa ya mradi husika.
Samahani kama nitakuwa nimekosea hapo.
 
Ni kweli, hilo alisema ktk kuwajenga watu akimaanisha jambo la msingi ni kuwa na wazo madhubuti na lenye tija theni mwishoni tunazungumzia namna ya kulikamilishwa kwa suala la upatikanaji wa fedha.
Siku zote la kwanza ni Wazo la biashara ndipo ulitafutie mtaji.
JAMBO LA MSINGI
kuwa na wazo la biashara ambalo
Litamgusa kila mtu ndipo tujadili
Namna ya kulifanikisha
Kimsingi hata mimi ninaunga mkono kilimo kwani hakitakizuia
Kuendelea na majukumu ya
Kila siku. Tunacho kikundi hai
Wanashiriki watu wengi sana
Lina mafanikio japo tumeungana watu wa sehemu tofauti,
Japo tumevuna msimu mmoja
Tumeona faida na sasa tunamalizia maandalizi ya
Awamu nyingine.
Hii haijawahi kunizuia kuendelea na shughuli zangu za kila siku kwani hatulimi kwa mikono yetu.
Nilicho jifunza ni kupata watu waaminifu kwa kiwango cha juu.
Yote yanawezekana, pesa ipo sana la msingi ni nia THABITI.
TATIZO KUBWA VIJANA WA TZ WAOGA
KILA MTU ANATAKA KUAJIRIWA.
 
Umenena poa sana mkuu, mimi kwa upande wangu naona kama KUAJIRIWA NI UTUMWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom