Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Nilishakimbia huko na sasa ninafanya kazi kwenye ofisi yangu mwenyewe, najivunia kiukweli.

Nilishakimbia huko na sasa ninafanya kazi kwenye ofisi yangu mwenyewe, najivunia kiukweli.

Aanze kulia liaaaPovu litamtoka.![]()
![]()
![]()
![]()
Cjui yuko wap! avatar shidadamtanzania nakutafuta kwa mara nyingine tena..!!
uko wapi?
walikuwa wapi ndio ukapuku huo.Naona jina limekuchanganya, labda hijasoma 1 na 3.
Waliojiita makapuku haimaanishi ni maskini bali ni wale waliojiunga jf from 2014 up to date, wale wasiokuwa naajina makubwa na wenye likes chache na sio maskini.
Hata kama Mengi kajiunga mwaka jana kwa mujibu wa uzi huu ni kapuku
Watu gani tena.Duh!watu hawapo?
........ Ntarudi baadae.
Si Makapuku wenzangu.Watu gani tena.
Week end imeanza ni mwendo wa bata tuSi Makapuku wenzangu.
Njema tu, za mida vipi braza.Habari zenu wakuu.
Mimi nipo mkuu.Si Makapuku wenzangu.
Bro mimi niko poa.Njema tu, za mida vipi braza.
Hata mimi nimeshaliona hilo.Week end imeanza ni mwendo wa bata tu
![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Mbona wee ni king'ang'anizi hivyo??Mimi nipo mkuu.
Mpe hi shemdarling aggyjay