Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Koh koh koh!Hivi kweeeli unaanzaje kumzungumzia Mzigua huku uko na MBONDEI
Koh koh koh!Hivi kweeeli unaanzaje kumzungumzia Mzigua huku uko na MBONDEI
Nakugawaaa weweeMzigua yupi huyooo mpaka atumie zongo bhana.... Nikisema suu napata mume Mwarabu saivi
Aaaaa... T weka pazia bana.So mtoto akiinama kuokoto shanga wewe unafanya mambo
binamu yangu jamaan roho inaniuma mimi mama mchuchu usitufanyie hivyo tuna roho ujue![]()
![]()
hapo chacha kama wote ni wa tanga akakufweee huyo mzigua zamu ya mbondei now


SipoHivi upo?
Kwa nini?Kauli ya Mwinyi sio nzuri kabisa
Njooo huku mbayiwayi wanguNa nani, mie nalala
Mzigua yupi huyooo mpaka atumie zongo bhana.... Nikisema suu napata mume Mwarabu saivi
Dada ungekuwa unakunywa ningesema umegonga mamboBasi SawaNa yeyote tu atakayekuwa tayari
Nafwaa leo..X mwenyewe sura inahuzunikia dunia
LollipopHivi ulisema nikuletee Redbull ngapi tena?
hujaleta, redbull ndo utaleta kweeeli...
SawaNiishie hapo tuu kwa hayo mambo ya internal affairs...
Nitakuwa naingilia ndoa ya mtu.
nenda kalizime dudeHebu nipe maji kwanza![]()
![]()
Dada agiza redbull sura inatisha
NiwaaacheVunga basi na wewe! Au stori za shanga zimeisha?
NakuloveeeKwahiyo shanga ndio zinasababisha mchepuke kwanza baba d hazipendi ata kuziona
Niwe mkweli tuu miee... Kwaito noooWoiiiiii dude limechachamaa![]()
![]()
![]()
binamu yangu jamaan roho inaniuma mimi mama mchuchu usitufanyie hivyo tuna roho ujue
