Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Umekuwa mpole kama sio wewe

Umekuwa mpole kama sio wewe

Kunywa dada hasira zipungue jamaanHebu nipe maji kwanza

Unaweza kuziendeleza tuu, Mzigua si yupo anakupa nondo mkuuVunga basi na wewe! Au stori za shanga zimeisha?
Au Baba D huwa unanidanganya hauzipendi kumbe huko unazipendaNakuloveee
Ngoja nikupe maji mkuuKoh koh koh!
Nigawe tuu shemu, nisijepigwa zongo mieNakugawaaa wewee
Niwe mkweli tuu miee... Kwaito nooo
Wapi hukooNjooo huku mbayiwayi wangu
Jamani kuna anayenijuaa tofaut na weweAu Baba D huwa unanidanganya hauzipendi kumbe huko unazipenda
Nina Lollipop mdomoni tuu![]()
![]()
![]()
![]()
Dada ungekuwa unakunywa ningesema umegonga mambo
Mkuu tena ??Ngoja nikupe maji mkuu
Huwezi kufa mkuu, kama ulipona zongo maneno matupu hayauiNafwaa leo..
Usifanyee kosa tag me plz![]()
kwaito ipi sasa jaman