Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Na nani, mie nalalaTunakesha
Na nani, mie nalalaTunakesha
Au ndio mpo wote mmekaa anaanza kuingizia habari za x wakeKweli vile, mie hajaniuliza ujue
inahusu nini tuongelee mapenzi yetuWanawake nyinyi mna hekima zenu... Dume liwe fundi kweli kweli kuzielewaWala roho hainiumi ila sitaki dharau
Hongera kwa Mzigua... Anayajua matumizi ya shangaNimeona mrejesho wake
Punguza baaaasi jamaniHizo ni dharau za wazi bhana... Anapata wapi nguvu ya kumuwaza X kwa mfano
Miss u moo madamMlinzi
Miss wewe mnooo
Shikamoo mama
X mwenyewe sura inahuzunikia dunia![]()
![]()
me sipendi hizi habari mambo ya x yanahusu nini
KaahSipendi mie
OkNdio anakufundisha ujinga![]()
Naam shem waneShem wangee
Labda kamuuliza Mzigua

Unaweza kuicheza na Mzigua au kuna shidaNimeeeeewa !
Leo naona kabisa nikikosa kwaito..
Hivi upo?Eeenhee
Basi tulia lee achepuke tuuSivai ndio
Mzigua yupi huyooo mpaka atumie zongo bhana.... Nikisema suu napata mume Mwarabu saivi![]()
![]()
hapo chacha kama wote ni wa tanga akakufweee huyo mzigua zamu ya mbondei now