Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Shem wangeeAhsante sana mkuu
Shem wangeeAhsante sana mkuu
Endelea kupiga kazi bossNyagei leo nimekusaidia kukesha...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sakayo la moyoni hiliLabda kamuuliza Mzigua
AiseeHaya njoo ukae. Hapo mlinzi wa makapk nipo
Shangaa na wewe sasaDharau sana jamaan kama hao max wangekuwa vipi wangewaacha
Wa nini tenaNapata ukakasi hapa [emoji28][emoji28]
Sijaichoka kazi madamMlinzi Umeichoka kazi eeh
Eid Mubarak
MlinziAhsante sana mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nenda baba uko porini mjini tuachiee ss
TunakeshaMungu ni muaminifu
Habarini za asubuhi wana familia.... Naamini mmeamka salama.. Sio kwa kulala huko jamani...
Amkeni bhana
Nimeona mrejesho wakeLabda kamuuliza Mzigua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] me sipendi hizi habari mambo ya x yanahusu niniShangaa na wewe sasa
Mzigua Mzigua... Mzigua my foot
Hivi kweeeli unaanzaje kumzungumzia Mzigua huku uko na MBONDEINdio hapo basi wasingeachana
So mtoto akiinama kuokoto shanga wewe unafanya mambo...huyo aliyekujibu hivyo ni fundi mtaalamu kabisa, fuata ushauri wake. Kuna tule tudogotudogo kuokota hadi apige magoti. Yaani wewe unabaki kuwa mhamasikaji tu kuhamasisha ni juu yake😀😀
Kauli ya Mwinyi sio nzuri kabisa
Nimeeeeewa !Naomba kama uko na mie Sitakiiii kusikia habari za ma_x wako... Umenielewa????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo chacha kama wote ni wa tanga akakufweee huyo mzigua zamu ya mbondei nowHivi kweeeli unaanzaje kumzungumzia Mzigua huku uko na MBONDEI
Kweli vile, mie hajaniuliza ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] sakayo la moyoni hili
225kMbuzi hana
IlaSijaichoka kazi madam