Hii iwafikie Visichana na Vivulana vyote popote vilipo.
Mkuu uwe na Siku njemaHabari ya asubuhi Wapendwa.
Kuachwa kubaya sana.Wewe endelea kuongea tu.
Asante, na kwako pia braza.Mkuu uwe na Siku njema
Ahimidiwe Bwana kwa uzima anaotujaalia.Namshkuru Mungu niko poa
Braza u mzima lakini?Morning to you too..
Salama kabisa kaka, hali yako vipi?habari yako boss
Karibu tujumuike tena kwa siku nyingine.Kabisa mkuu....
Salama kabisa braza!?Wazimu humu ndani?
Salama kabisa braza!?Wazima humu ndani?
Nashukuru Mungu sana kwa hilo na hata wewe natumai unajivunia kuwa na shemeji kama huyo..Hakikaa una mke mwema braza
Bado mimi hujanipa.Kuna ambaye sijampa like???
Kwema kabisa Mkuu.Morning to you Shemeji bila shaka mmeamka salama salmin na wadau wengine wote...
Pamoja sana shemejii.Aikambee bwashee