Makapuku Forum

Makapuku Forum

WAZO LA LEO:

PADRI akiwa Kanisani kasema hebu jaribu kufanya Jambo ili um_surprise MUNGU.
JAMAA mmoja akaamua kukwapua kikapu cha sadaka na kukimbia nacho.

UJUMBE: Tum_surprise MUNGU kwa Mema.

GongaLIKE kama utam_surprise MUNGU kwa Mema mwaka huu.
 
JANA LILITOKA WAZO KWA BAADHI YA MAKAPUKU KTK KUTAKA KUENDELEZA UMOJA WAO NJE YA JF, NA YAFUATAYO NI MAPENDEKEZO YAO;
Manuu...alipendekeza kuwa na SACCOS.

Bitoz...tutengeneze kikundi chenye malengo tuombe mkopo bank.

Youngblood...tuunde kikundi tulime karafuu.

Ameizing...tuunde kikundi na tuanze mradi/miradi yamuda mfupi na wa kati, mfano kulima matikiti, kufuga kuku wa nyama. Mradi wa muda wa kati ni misitu ya mbao na poles (mirunda, na nguzo)

Haya ndiyo mawazo ya baadhi ya makapuku
Paroko yameshapita
Leo ni Leo,Jana ni Jana
Tuendeleo issue zingine....halazimishwi mtu kujadili kitu fulani km hakipendi

..............
 
Nimeyaona mkuu ila nadhani still kuna room kwa yeyote mwenye wazo lingine lolote kulileta hapa likaongezwa kwenye list..Then yaanzwe kuchambuliwa tuone tunaelekea wapi....Nikupongeze pia kwa kuweka kumbukumbu hizi za muhimu sana...
Uko sahihi manuu, nimeyaleta ili kuwapa wengine nafasi ya kuongezea au kuboresha zaidi
 
Ndoa ngumu
1461912049747.jpg
 
JANA LILITOKA WAZO KWA BAADHI YA MAKAPUKU KTK KUTAKA KUENDELEZA UMOJA WAO NJE YA JF, NA YAFUATAYO NI MAPENDEKEZO YAO;
Manuu...alipendekeza kuwa na SACCOS.

Bitoz...tutengeneze kikundi chenye malengo tuombe mkopo bank.

Youngblood...tuunde kikundi tulime karafuu.

Ameizing...tuunde kikundi na tuanze mradi/miradi yamuda mfupi na wa kati, mfano kulima matikiti, kufuga kuku wa nyama. Mradi wa muda wa kati ni misitu ya mbao na poles (mirunda, na nguzo)

Haya ndiyo mawazo ya baadhi ya makapuku
Mawazo mazuri sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom